Uhasidi wa Dama

KShs 420.00

Sidi alipokea zawadi ya kupendeza zaidi kutoka kwa baba yake, hando lenye rangi za upinde wa mvua. Hakuna yeyote katika kijiji chao aliyewahi kuona kitu kama hicho. Alipoamua kuivaa sketi yake mpya kwenye densi ya kijijini, alivunja ahadi aliyoiweka kwa rafiki yake wa chanda na pete, Dama. Kwa kulemewa na wivu, Dama anapanga njama ambayo inahatarisha uhusiano wao. Je, wasichana wawili hao watafanikiwa kuuchagua urafiki wao kuliko vitu vingine wanavyomiliki?

In stock

SKU: 9789966623959 Categories: , ,